WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)
Mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Ghirmay Andemichael (kushoto) akikabidhi vifaa mbalimbali vyenyethamani zaidi ya shilingi milioni 110 kwa ajili ya kituo cha kuratibu maradhi ya mripuko ikiwemo (COVID -19) kwa Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Jamala Adam Taib, hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja Zanzibar Wizara ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa […]