WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)

Mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Ghirmay Andemichael (kushoto) akikabidhi vifaa mbalimbali vyenyethamani zaidi ya shilingi milioni 110 kwa ajili ya kituo cha kuratibu maradhi ya mripuko ikiwemo (COVID -19) kwa Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Jamala Adam Taib, hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja Zanzibar Wizara ya  Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa […]

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI ZAIDI KUKABILIANA NA MARADHI YA CORONA

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akiwa na Msaidizi Meneja Programu ya Ukimwi, Homa ya Ini, Kifua Kikuu na Ukoma Issa Abeid Mussa wakionyesha ujumbe wa madhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani huko Wizara ya Afya wakati wa mkutano wa wandishi wa habari. Wananchi wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari zaidi ya kinga katika kukabiliana na […]

ZANZIBAR YAANDAA ENEO LA KUWAWEKA WAGONJWA WA CARONA PINDI WAKITOKEA

Mganga Mkuu wa Serekali ya Tanzania bara Prof. Muhammed Bakari Kambi akizungumza na wandishi wa habari kuhusu mashirikiano na wenzao wa Zanzibar juu ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona pindi ukingia nchini. Ujumbe wa Wataalamu wa Afya kutoka Tanzania Bara na Zanzibar Umetembelea jengo la dharura  lililotengwa kwa ajili ya matibabu ya wagonjwa watakaogundulika na […]

Loading