WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI ZAIDI KUKABILIANA NA MARADHI YA CORONA

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akiwa na Msaidizi Meneja Programu ya Ukimwi, Homa ya Ini, Kifua Kikuu na Ukoma Issa Abeid Mussa wakionyesha ujumbe wa madhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani huko Wizara ya Afya wakati wa mkutano wa wandishi wa habari. Wananchi wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari zaidi ya kinga katika kukabiliana na […]

MKURUGENZI KINGA NA ELIMU YA AFYA AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR.

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Dk,Fadhill Mohamed Abdalla akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Tahadhari zilizochukuliwa kujikinga na Maradhi ya Corona yaliozuka katika Nchi ya China hafla iliofanyika Ofisini kwake Wizara ya Afya Mnazimmoja Zanzibar Wananchi wametakiwa kufika katika Vituo vya Afya kwa ajili ya uchunguzi na kupatiwa matibabu mara watapobaini kuwa na […]

Loading

TAARIFA KWA UMMA

Tarehe 7/5/2020

Mwenendo wa ugonjwa wa #COVID19 Zanzibar leo tarehe 7/5/2020 Idadi ya visa vipya 29, yaongezeka kutoka 105 kufikia 134. #COVID19ZNZ #TokomezaCorona

Kwa maelezo zaidi angalia ripoti yetu ya leo katika kurasa yetu ya Covid_19 pamoja na kurasa zetu za Facebook na Twitter.

Jikinge Wakinge na Wengine