ZANZIBAR KUZINDUA ZOEZI LA KUPIGA DAWA YA MALARIA MAJUMBANI TAREHE 15 MWEZI HUU.
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Dk. Fadhil Abdalla akielezea mauzui ya upiga dawa majumbani katika Mkutano wa Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman na wandishi wa habari uliofanyika Ofisi za malaria Mwanakwerekwe Wizara ya Afya Zanzibar itazindua zoezi la siku kumi la kupiga dawa ya majumbani ya kuulia viluilui vya Malaria tarehe 13 […]