ZANZIBAR KUZINDUA ZOEZI LA KUPIGA DAWA YA MALARIA MAJUMBANI TAREHE 15 MWEZI HUU.

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Dk. Fadhil Abdalla akielezea mauzui ya upiga dawa majumbani katika Mkutano wa Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman na wandishi wa habari uliofanyika Ofisi za malaria Mwanakwerekwe Wizara ya Afya Zanzibar itazindua zoezi la siku kumi la kupiga dawa ya majumbani ya kuulia viluilui vya Malaria tarehe 13 […]

WIZARA YA AFYA YAWATAKA WANANACHI KUPAMBANA NA MALARIA

Mkuu wa Kitengo cha Malaria Zanzibar Abdalla Suleiman akitoa maelezo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kuwashajihisha Wananchi kusafisha mazingira yaliyowazunguka ili kupambana na Malaria huko Afisini kwake Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B”. MKUU wa Kitengo cha Malaria ¬†Zanzibar Abdalla Suleiman amewataka wananchi kusafisha mazingira yao yanayowazunguka ili kupambana na maradhi ya malaria ambayo […]

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI

Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Sulueiman akihutubia wananchi waliojitokeza katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Malaria Duniani, (kulia) Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Dkt. Fadhil Abdalla na kushoto Mkuu wa Wilaya Kaskazini ‘B’ Rajab Ali Rajab. Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Sulueiman amesema Wizara yake itaendelea kutumia mikakati ya kupambana na […]

Loading