WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AFANYA ZIARA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA KIVUNGE

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akiwa katika Ziara ya  kutembelea Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja (kushoto) Daktari dhamana wa Hospitali hiyo Tamim Hamad Said. WAZIRI wa Afya Hamadi Rashid Mohammed amesema amefurahishwa na ujenzi unaoendelea huko katika Hospital ya Kivunge katika jengo la mama na mtoto . Hayo ameyasema huko Hospital […]

Loading