WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR HAMAD RASHID AZUNGUMZA NA WAANDISHI

Waziri wa Afya Hamad Rashid akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Maradhi ya Korona yalioingia katika baadhi ya Nchi Duniani ambapo hadi sasa Zanzibar na Tanzania kwa Jumla hakuna maradhi hayo na kuelezea Tahadhari za kujikinga zilizochukuliwa na Serikali ikiwa ni pamoja na madawa na Vifaa vya kujikingia hafla iliofanyika ukumbi wa Wizara hio […]

MAAFISA WA ZFDA WAFANYA UKAGUZI WA MAENEO YA KUUZIA MAZIWA

Maafisa ukaguzi kutoka Wakala wa Chakula na Vipodozi Zanzibar wakifanya ukaguzi baada ya kutoa tangazo kwa wauza maziwa kuacha kutumia madumu na chupa za plastika kuhifadhia maziwa tangazo ambalo halijatekelezwa Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imeanza ukaguzi wa wauza maziwa wasiofuata utaratibu unaokubaliwa ikiwemo sehemu zisizo rasmi ili kulinda afya za wananchi. Mkurugenzi […]

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA UJUMBE WA UN

Mwakilishi Mkaazi Wa Shirika La Afya Duniani (Who) Zanzibar Dkt. Andemichael Ghirmay akiukaribisha ujumbewa wa UN kwa Waziri wa Afya Zanzibar walipofika Ofisini kwake pamoja na kutoa maelezo kuhusu juhudi zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha huduma za Afya Zanzibar. Mashirika ya kimataifa un, who na unicef yameeleza kuridhishwa na huduma bora za afya zinazotolewa na […]

Waziri wa Afya akataza kuomba michango kwa ajili ya Wagonjwa

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo Pichani) kuhusu kukataza kuomba michango kwa ajili ya Wagojwa, huko  Hospitali ya Mnazi Mmoja Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kutekeleza sera kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure pamoja na kuwasafirisha  Wagonjwa nje ya nchi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa  Afya Hamad Rashid […]

Loading