TAMKO LA SERIKALI JUU YA UPATIKAN AJI WA KADI MAALUM KWA WALIOCHANJWA CHANJO YA UVIKO-19
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanza kutoa vitambusho maalum vya uthibitisho wa chanjo ya Uviko-19 kwa wale wanaokamilisha dozi ya chanjo hiyo. Akitoa taarifa ya serikali kuhusiana na Upatikanaji wa Vitambusho vya Chanjo ya Uviko-19 kwa waandishi wa habari Waziri wa Afya, Ustawi wa Jami, Jinsia na Watoto Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, amesema serikali inatoa […]
