ZANZIBAR KUADHIMISHA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI KESHO MACHI 20
Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) kuelekea maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani yatayofanyika kesho tarehe 20/03/19 Mapinduzi Square Michenzani Mjini Unguja. Zaidi ya asilimia 50 ya watoto wanaugua maradhi ya kutoboka kwa meno jambo ambalo hupelekea kuathirika kwa kinywa na afya ya […]