ZANZIBAR KUADHIMISHA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI KESHO MACHI 20

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) kuelekea maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani yatayofanyika kesho tarehe 20/03/19 Mapinduzi Square Michenzani Mjini Unguja. Zaidi ya asilimia 50 ya watoto wanaugua  maradhi ya kutoboka kwa meno jambo ambalo hupelekea kuathirika kwa kinywa na afya ya […]

KITENGO CHA KINYWA NA MENO HOSPITALI YA MNAZI MMOJA CHATOA HUDUMA YA MENO KWA WATOTO WANAOLELEWA NYUMBA YA MAZIZINI.

Mkuu wa Kitengo cha Meno na Kinywa Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt. Semeni Shaban Mohd akimfanyia uchunguzi wa meno Faiza Josef Lumelezi huko Mazizini. Wizara ya Afya Zanzibar kupitia Kitengo cha Meno Hospitali Kuu ya Mnazi mmoja kimetoa elimu ya utunzaji na uchunguzi wa meno na kinywa kwa watoto wanaolelewa katika nyumba ya watoto Mazizini. […]

Loading