WAFANYAKAZI WIZARA YA AFYA ZANZIBAR WAPEWA ELIMU YA UTUMISHI WA UMMA

Afisa Mchambuzi Kazi Ofis ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Maulid Shaib Amada akitoa mada ya upimaji utendaji kazi watumishi wa umma kwa wafanyakazi wa Wizara ya Afya, hafla iliyofanyika Ukumbi wa mikutano Wizara ya Afya Mnazimmoja.

Mkurugenzi Muendeshaji wa Wizara ya Afya Zanzibar Nd.Ramadhan Khamis Juma akichangia mada katika mafunzo hayo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya Zanzibar waliohudhuria mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa wizara ya Afya.

.

 

Loading