MAFUNZO KWA WAFAMASIA

Mfamasia Mkuu wa Serikali  Habibu Ali Sharifu  amewataka wafamasia kuwa  waaminifu katika utendeji  wa kazi zao ili kutekeleza maadili ya kazi  kufanya hivyo kutaisaidia azma ya Serikali kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure . Hayo ameyasema huko katika ukumbi wa Shekhe Idrisa Abdulwakili,kikwajuni wakati wa mafunzo  kwa wafamasia wa  Zanzibar amesema si mwema wafamasia kukosa uwadilifu […]

ELIMU YA MATUMIZI YA CHAKULA VINYWAJI KWA WANAFUNZI YATOLEWA ZANZIBAR

Mkuu wa kitengo cha Uchambuzi wa Athari zitokanazo na Chakula wa Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA)Aisha Suleiman akitoa Elimu ya Matumizi ya Chakula Vinywaji pamoja na Peremende kwa Wanafunzi wa Skuli ya Glorious Academy Mpendae mjini Zanzibar. Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar imepiga marufuku kutumia bidhaa ambazo vifungashio vyake havina maandishi ya lugha […]

MAFUNZO YA SAIKOLOJIA KWA WADAU WA MAPAMBANO DHIDI YA UDALILISHAJI WANAWAKE NA WATOTO YAFUNGULIWA

Naibu Waziri wa Afya Harusu Saidi Suleiman akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya siku Tano ya Saikolojia kwa Wadau wa Mapambano dhidi ya udhalilishaji yaliofanyika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidongo chekundu mjini Unguja. Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto bado vinaendelea kuongezeka Zanzibar licha ya juhudi mbali mbali […]

Loading