ZFDA YAFUNGIA KIWANDA CHA KUZALISHA SANITIZER FEKI KIEMBESAMAKI

Mkuu wa Kitengo cha Vipodozi wa ZFDA Salim Hamad Kassim akiwaonyesha waandishi wa habari Dawa ya Kuoshea Mikono (SANITAIZER) ambayo haina Kiwango iliyotengenezwa na Kiwanda cha Oil Cam kilichopo Kiembesamaki, Wilaya ya Magharibi ‘B’ Unguja. Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imekifunga kiwanda cha kutengeneza dawa za kukosha mikono (SANITIZER) baada ya kubainika dawa […]

MAAFISA WA ZFDA WAFANYA UKAGUZI WA MAENEO YA KUUZIA MAZIWA

Maafisa ukaguzi kutoka Wakala wa Chakula na Vipodozi Zanzibar wakifanya ukaguzi baada ya kutoa tangazo kwa wauza maziwa kuacha kutumia madumu na chupa za plastika kuhifadhia maziwa tangazo ambalo halijatekelezwa Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imeanza ukaguzi wa wauza maziwa wasiofuata utaratibu unaokubaliwa ikiwemo sehemu zisizo rasmi ili kulinda afya za wananchi. Mkurugenzi […]

ELIMU YA MATUMIZI YA CHAKULA VINYWAJI KWA WANAFUNZI YATOLEWA ZANZIBAR

Mkuu wa kitengo cha Uchambuzi wa Athari zitokanazo na Chakula wa Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA)Aisha Suleiman akitoa Elimu ya Matumizi ya Chakula Vinywaji pamoja na Peremende kwa Wanafunzi wa Skuli ya Glorious Academy Mpendae mjini Zanzibar. Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar imepiga marufuku kutumia bidhaa ambazo vifungashio vyake havina maandishi ya lugha […]

WAKALA WA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR (ZFDA) WAPIGA MARUFUKU CHOKLET NA JUISI FRUIT ZILIZOMO KWENYE VIFUNGASHIO AINA YA BOMBA LA SINDANO

Mkurugenzi Idara yaUdhibiti Usalama wa Chakula (ZFDA) Dr. Khamis Ali Omar akitoa taarifa kwa wandishi wa habari ya marufuku ya uuzaji wa choklet na fruit juisi zilizomo kwenye kifungashio kinachoonekana kama bomba la sindano. Wazazi na Walezi nchini wametakiwa kuepuka kuwanunulia Watoto wao bidhaa aina ya Choklet zilizotengenezwa mfano wa Bomba ya Sindano kutokana na […]

ZFDA YATEKETEZA TANI 183 YA BIDHAA ZILIZOHARIBIKA NA ZILIZOPITWA NA MUDA WA MATUMIZI

Wafanyakazi wa Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) wakishusha tani 183 za bidhaa zilizoharibika za mchele, unga wa ngano na tende kwa ajili ya kuteketezwa katika Jaa la Kibele, Wilaya ya Kati Mkoa Kusini Unguja. Mkuu wa Ukaguzi wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) Mohd Shadhil amewashauri Wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa kutoka nje ya nchi […]

Loading