KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA ASAINI MKATBA WA MATIBABU YA MOYO TAASISI YA JAKAYA KIKWETE

Katibu Mkuu Wizara ya Afya ,Ustawi wa Jamii,  Wazee , Jinsia na Wato Fatma Mrisho akisaini mkataba wakupatiwa matibabu ya  Moyo wagonjwa kutoka Zanzibar, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo  Tanzania Bara, mara uongozi wa Taasisi hiyo ulipofika Ofisini kwake kwa ajili ya kufunga mkataba huo wa  miaka mitatu Wizara ya Afya, Ustawi […]

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA ASAINI MKATBA WA MATIBABU YA MOYO TAASISI YA JAKAYA KIKWETE

Wazara wa Afya, Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto imetia saini Mkataba wa Makubaliano  na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete,  yanayohusisha upelekaji wa wagonjwa wa moyo wanaotoka Zanzibar  kupatiwa matibabu katika Taasisi hiyo. Mkataba huo ulisainiwa na Katibu Mkuu wa  Wazara wa Afya, Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar na Kiongozi […]

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA MKURUGENZI MKAAZI USAID NA UJUMBE WAKE

Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee , jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Mkurugenzi Mkaazi USAID Nchini Tanzania Kate Somrongsiri na Ujumbe wake  mara walipofika Ofisini kwake na kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya afya . Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui, ameahidi kuilinda na […]

Ujumbe wa Maendeleo na Utetezi Duniani wakutana na Waziri wa Afya Zanzibar

Ujumbe wa Maendeleo na Utetezi Duniani (Global Development and Advocacy) umesema utaendeleza mashirikiano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika sekta ya afya ili kuhakikisha athari za maradhi yasioambukiza zinapungua nchini.  Hayo ameyasema Mkuu wa Maendeleo na Utetezi Duniani Mr.Bent Lautrup – Nielsen kutoka Denmark wakati akizungumza na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee,Jinsia […]

TUSHIRIKIANE KUPAMBANA NA UGONJWA WA KISUKARI – MHE. OTHMAN

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema maradhi yasiyoambukiza yakiwemo magonjwa ya kisukari bado yanabaki kuwa tishio kwa afya ya jamii na dhidi ya maendeleo ya nchi na Taifa kwa ujumla. Mheshimiwa Othman ameyasema hayo leo katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Kisukari Duniani, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnara […]

Mkutano wa Kitaalamu wa Kisayansi wa kujadili maradhi mbali mbali ya kina Mama

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema inajivunia kuwepo kwa madaktari wa kichina katika kusaidia matibabu ya magonjwa mbalimbali. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Dkt Abdallah Ali Suleiman kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Nassor Ahmed Mazrui huko Hospitali ya Mnazi Mmoja wakati akifungua Mkutano wa […]

Loading