KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA ASAINI MKATBA WA MATIBABU YA MOYO TAASISI YA JAKAYA KIKWETE
Wazara wa Afya, Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto imetia saini Mkataba wa Makubaliano na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, yanayohusisha upelekaji wa wagonjwa wa moyo wanaotoka Zanzibar kupatiwa matibabu katika Taasisi hiyo. Mkataba huo ulisainiwa na Katibu Mkuu wa Wazara wa Afya, Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar na Kiongozi […]